HomeMichezo Samatta, Msuva na Farid Mussa wanatarajiwa kuwasili usiku huu Mwl Manyama Monday, November 11, 2019 0 Comments Facebook Twitter Wachezaji wa kimataifa wa Tanzania, wakiwemo nahodha Mbwana Samatta, Saimon Msuva na Farid Mussa, wanatarajiwa kuwasili usiku huu kujiunga na kambi ya TaifaStars inayojiandaa na michezo miwili ya kusaka tiketi ya kufuzu michuano ya AFCON 2021. Tags Michezo Facebook Twitter
Laini za simu milioni 2 pekee ndizo zimesajiliwa kwa alama za vidole kati ya Milioni 44 Thursday, September 19, 2019
Post a Comment