Watu Saba wamefariki dunia na wengine Saba kujeruhiwa katika ajali ya Gari aina ya Haice iliyokuwa ikitoka Sirari Kwenda Mugumu Serengeti kupitia mji wa Nyamongo wilayani Tarime.
Ajali hiyo imetokea katika kijiji cha Nyamwaga Kata ya Nyamwaga Wilayani humo.

Post a Comment

Previous Post Next Post