Tetesi zilizo chini ya uvungu ni kwamba huenda aliyekuwa mshambuliaji wa Timu ya Simba Sports Club mganda Emmanuel Anord Okwi huenda akarejea katika klabu hiyo ya Simba ambayo makao yake makuu ni mtaa wa Msimbazi Jijini Dar es Salaam ili kuja kukamilisha idadi ya wachezaji 10 ambao wanatoka nje baada ya dili lake kufeli kunako katika klabu ya Ughaibuni alipoenda kufanya majaribio.

1 Comments

Post a Comment

Previous Post Next Post