Muonekano wa jengo jipya la Mfuko wa Mwalimu Julius Nyerere linalojulikana kama ‘Mwalimu Nyerere Foundation Square’ lililopo Barabara ya Sokoine/Morogoro jijini Dar es Salaam baada ya kukamilika kwa ujenzi. Jengo hilo lenye ghorofa 30 limejengwa na kampuni ya Kichina ya CRJE (East Africa) linatarajiwa kuzinduliwa hivi karibuni.

Post a Comment

أحدث أقدم