Kumekuwa na tetesi kwamba eti ukinywa Pombe basi hutaweza kuambukiwa Virusi hatari vya Corona.
Uvumi
huo sio kweli na Wizara ya Afya imetoa ufafanuzi na kuwataka watanzania
wazingatie miongozo mbalimbali ya namna ya kujikinga na virusi hivyo
inayotolewa na serikali
إرسال تعليق