Ripoti za kitabibu zilizotolewa baada ya mwili wa George Floyd
Kuchunguzwa zinasema kwamba, George hajakutwa na majeruhi yoyote mwilini
mwake, bali alikua anasumbuliwa na Magonjwa nyemelezi ikiwemo ugonjwa
wa Moyo .
Hivyo kwa mujibu wa Ripoti hiyo , magonjwa hayo pamoja na Mshituko wa kukamatwa na Polisi ndivyo vimemuua , Lakini si Mateso !
[Source : CNN] .
#JusticeForGeorgeFloyd
إرسال تعليق