Eden Hazard ametangazwa mshindi wa tuzo ya mchezaji bora wa UEFA Europa League kwa msimu wa 2018/19.

Msimu uliopita Chelsea na Arsenal zilikutana fainali, kombe likabaki England, tuzo ya mchezaji bora wa michuano hiyo pia imekwenda England.

Post a Comment

Previous Post Next Post