HomeMatukio Habari za hivi punde ni kuhusu Ajali huko Mkoa wa Kilimanjaro.. Mwl Manyama Sunday, August 04, 2019 0 Comments Facebook Twitter HABARI Ajali ya basi imetokea asubuhi ya leo katika kijiji cha Uchira wilayani Moshi, ikihusisha basi la kampuni ya Hood lenye namba T 779 AVL lililokuwa likitokea mkoani Arusha kuelekea Mbeya. Inaelezwa abiria wote wako salama. Tags Matukio Facebook Twitter
Laini za simu milioni 2 pekee ndizo zimesajiliwa kwa alama za vidole kati ya Milioni 44 Thursday, September 19, 2019
Jose Luis Miquissone Adaiwa Kurejea Kiwango Chake Uwanjani, Asaidia Kupatikana Mabao Sunday, October 15, 2023
Post a Comment