.
Beki kitasa wa simba Juuko Murshi amejiunga na klabu ya Wydad Cassablanca kwa mujibu wa chanzo cha habari nchini Uganda.
Juuko Murshid alikiwa bado anamkataba na miamba ya soka Tanzania Simba lakini inasemekana hajalipwa mishahara Yake ya miezi kadhaa na ndiyo sababu iliyomfanya aondoke zake.

Post a Comment

Previous Post Next Post