Muonekano wa jengo jipya la Mfuko wa Mwalimu Julius Nyerere linalojulikana kama ‘Mwalimu Nyerere Foundation Square’ lililopo Barabara ya Sokoine/Morogoro jijini Dar es Salaam baada ya kukamilika kwa ujenzi. Jengo hilo lenye ghorofa 30 limejengwa na kampuni ya Kichina ya CRJE (East Africa) linatarajiwa kuzinduliwa hivi karibuni.
Huu Ndio Muonekano Wa Jengo Jipya La Mfuko Wa Mwalimu Julius Nyerere
Mwl Manyama
0
Comments
Tags
Kitaifa
Post a Comment