Straika wa Simba, Meddie Kagere, amefunga mabao matatu maarufu hat-trick katika ushindi wa 3-1 dhidi ya Power Dynamos ya Zambia kwenye mchezo wa kimataifa wa kirafiki uliyochezwa leo Jumanne Agosti 6, Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Mchezo huo ulikuwa maalumu kuhitimisha kilele cha sherehe za Simba Day.

Post a Comment

Previous Post Next Post