Basi la Mwendokasi lililokuwa likitoka Kariakoo kuelekea Kimara linateketea kwa moto usiku huu eneo la Kimara baada ya kushika moto na kuungua wakati likiwa safarini.

Baadhi ya abiria wamesema walianza kusikia harufu ya moshi mapema wakiwa kituo cha Manzese lakini hawakuhofia maana gari liliendelea na safari.






Post a Comment

Previous Post Next Post