“Tatizo hili (la migogoro Arusha) lililetwa na Mkuu wa Mkoa Arusha(Gambo) anazungumza hivi huku, anazungumza hivi kule lengo ni kuonekana yeye ni mzuri sana, tusitoe ahadi ambazo haziwezekani lazima tusimamie Sheria, RC, DC msiende kuingia kwenye matatizo”-JPM

“Mkuu wa Mkoa Arusha ukasimamie migogoro, kuna migogoro mingine inatengenezwa makusudi, kaisimamie vizuri, mfano kulikuwa na mgogoro pale wa kanisa na shule kuna maamuzi hayakuwa ya kweli, nikawaambia wakitaka eneo wajenge ghorofa,Jiji haliwezi kuingia gharama kutafuta eneo”-JPM

“Mkurugenzi Arusha nataka stendi iliyopangwa kujengwa ikajengwe, kulikuwa na mvutano wa eneo la kujenga mara ikajengwe kwenye ofisi za CCM, viongozi wamekaa wanabishana hadi wanawacheleweshea wananchi wa Arusha kupata stand nzuri, nimewatimua wakabishane huko.

Post a Comment

Previous Post Next Post