WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar Mohamed Aboud Mohamed amajitokeza katika Ofisi Kuu za Chama Cha Mapinduzi CCM Kisiwandui Mjini Unguja kuchukua Fomu ya kuwania Nafasi ya Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama hicho.


Post a Comment

Previous Post Next Post