“Asante Watu wa Bahi kwa kunikaribisha nafahamu hapa Bahi kuna wakulima wazuri, wafugaji tutatua kero zenu zote, zaidi ya tozo 114 zimefutwa ili wakulima mnufaike, kwa miaka 5 tutaendeleza pale tulipoishia, tutaondoa kabisa tatizo la maji hapa” -JPM akiwa Bahi

 

Post a Comment

Previous Post Next Post